Zaburi 103:8
Psalms 103:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.
Psalms 103:8 in English
Psalms 103:8 · Berean Standard Bible
The LORD is compassionate and gracious, slow to anger, abounding in loving devotion.
Context
6Bwana hutenda haki,
naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa. 7Alijulisha Mose njia zake,
na wana wa Israeli matendo yake. 8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema;
si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 9Yeye hatalaumu siku zote,
wala haweki hasira yake milele, 10yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu
wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.