Native Bible

Psalms 103:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa.

Psalms 103:6 in English

Psalms 103:6 · Berean Standard Bible

The LORD executes righteousness and justice for all the oppressed.

Context

4aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji ya upendo na huruma, 5atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai. 6Bwana hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa. 7Alijulisha Mose njia zake, na wana wa Israeli matendo yake. 8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.