Native Bible

Psalms 103:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.

Psalms 103:5 in English

Psalms 103:5 · Berean Standard Bible

who satisfies you with good things, so that your youth is renewed like the eagle’s.

Context

3akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote, 4aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji ya upendo na huruma, 5atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai. 6Bwana hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa. 7Alijulisha Mose njia zake, na wana wa Israeli matendo yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.