Zaburi 103:3
Psalms 103:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote,
Psalms 103:3 in English
Psalms 103:3 · Berean Standard Bible
He who forgives all your iniquities and heals all your diseases,
Context
1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Vyote vilivyomo ndani yangu
vilihimidi jina lake takatifu. 2Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
wala usisahau wema wake wote, 3akusamehe dhambi zako zote,
akuponya magonjwa yako yote, 4aukomboa uhai wako na kaburi,
akuvika taji ya upendo na huruma, 5atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema,
ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.