Native Bible

Psalms 103:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.

Psalms 103:10 in English

Psalms 103:10 · Berean Standard Bible

He has not dealt with us according to our sins or repaid us according to our iniquities.

Context

8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo. 9Yeye hatalaumu siku zote, wala haweki hasira yake milele, 10yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu. 11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha; 12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.