Native Bible

Psalms 103:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi.

Psalms 103:12 in English

Psalms 103:12 · Berean Standard Bible

As far as the east is from the west, so far has He removed our transgressions from us.

Context

10yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu. 11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha; 12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi. 13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.