Zaburi 103:14
Psalms 103:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.
Psalms 103:14 in English
Psalms 103:14 · Berean Standard Bible
For He knows our frame; He is mindful that we are dust.
Context
12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi,
ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi. 13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake,
ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa,
anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi. 15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani,
anachanua kama ua la shambani; 16upepo huvuma juu yake nalo hutoweka,
mahali pake hapalikumbuki tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.