Zaburi 103:13
Psalms 103:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha;
Psalms 103:13 in English
Psalms 103:13 · Berean Standard Bible
As a father has compassion on his children, so the LORD has compassion on those who fear Him.
Context
11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana,
ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha; 12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi,
ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi. 13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake,
ndivyo Bwana anavyowahurumia wale wanaomcha; 14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa,
anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi. 15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani,
anachanua kama ua la shambani;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.