Zaburi 103:16
Psalms 103:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena.
Psalms 103:16 in English
Psalms 103:16 · Berean Standard Bible
when the wind passes over, it vanishes, and its place remembers it no more.
Context
14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa,
anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi. 15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani,
anachanua kama ua la shambani; 16upepo huvuma juu yake nalo hutoweka,
mahali pake hapalikumbuki tena. 17Lakini kutoka milele hata milele
upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao,
nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao: 18kwa wale walishikao agano lake
na kukumbuka kuyatii mausia yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.