Native Bible

Psalms 103:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake.

Psalms 103:18 in English

Psalms 103:18 · Berean Standard Bible

to those who keep His covenant and remember to obey His precepts.

Context

16upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena. 17Lakini kutoka milele hata milele upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao: 18kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake. 19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote. 20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.