Native Bible

Psalms 103:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake.

Psalms 103:20 in English

Psalms 103:20 · Berean Standard Bible

Bless the LORD, all His angels mighty in strength who carry out His word, who hearken to the voice of His command.

Context

18kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake. 19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote. 20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake. 21Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake. 22Mhimidini Bwana, kazi zake zote kila mahali katika milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.