Zaburi 103:21
Psalms 103:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.
Psalms 103:21 in English
Psalms 103:21 · Berean Standard Bible
Bless the LORD, all His hosts, you servants who do His will.
Context
19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni,
ufalme wake unatawala juu ya vyote. 20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake,
ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake,
ninyi mnaotii neno lake. 21Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni,
ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake. 22Mhimidini Bwana, kazi zake zote
kila mahali katika milki yake.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.