Native Bible

Psalms 103:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mhimidini Bwana, kazi zake zote kila mahali katika milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.

Psalms 103:22 in English

Psalms 103:22 · Berean Standard Bible

Bless the LORD, all His works in all places of His dominion. Bless the LORD, O my soul!

Context

20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake. 21Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake. 22Mhimidini Bwana, kazi zake zote kila mahali katika milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.