Native Bible

Psalms 103:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote.

Psalms 103:19 in English

Psalms 103:19 · Berean Standard Bible

The LORD has established His throne in heaven, and His kingdom rules over all.

Context

17Lakini kutoka milele hata milele upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao: 18kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake. 19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote. 20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake. 21Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.