Native Bible

Psalms 103:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kutoka milele hata milele upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao:

Psalms 103:17 in English

Psalms 103:17 · Berean Standard Bible

But from everlasting to everlasting the loving devotion of the LORD extends to those who fear Him, and His righteousness to their children’s children—

Context

15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, anachanua kama ua la shambani; 16upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena. 17Lakini kutoka milele hata milele upendo wa Bwana uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao: 18kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake. 19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.