Native Bible

Proverbs 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu.

Proverbs 8:5 in English

Proverbs 8:5 · Berean Standard Bible

O simple ones, learn to be shrewd; O fools, gain understanding.*

Context

3kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: 4“Ni ninyi wanaume, ninaowaita; ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote. 5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 7Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.