Mithali 8:6
Proverbs 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa.
Proverbs 8:6 in English
Proverbs 8:6 · Berean Standard Bible
Listen, for I speak of noble things, and the opening of my lips will reveal right.
Context
4“Ni ninyi wanaume, ninaowaita;
ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote. 5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili;
ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema;
ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 7Kinywa changu husema lililo kweli,
kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 8Maneno yote ya kinywa changu ni haki;
hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.