Native Bible

Proverbs 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu.

Proverbs 8:7 in English

Proverbs 8:7 · Berean Standard Bible

For my mouth will speak the truth, and wickedness is detestable to my lips.

Context

5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 7Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 8Maneno yote ya kinywa changu ni haki; hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi. 9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.