Native Bible

Proverbs 8:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa.

Proverbs 8:9 in English

Proverbs 8:9 · Berean Standard Bible

They are all plain to the discerning, and upright to those who find knowledge.

Context

7Kinywa changu husema lililo kweli, kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 8Maneno yote ya kinywa changu ni haki; hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi. 9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. 10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi, 11kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.