Native Bible

Proverbs 8:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye.

Proverbs 8:11 in English

Proverbs 8:11 · Berean Standard Bible

For wisdom is more precious than rubies, and nothing you desire compares with her.

Context

9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. 10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi, 11kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye. 12“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara; ninamiliki maarifa na busara. 13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; ninachukia kiburi na majivuno, tabia mbaya na mazungumzo potovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.