Mithali 8:10
Proverbs 8:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi,
Proverbs 8:10 in English
Proverbs 8:10 · Berean Standard Bible
Receive my instruction instead of silver, and knowledge rather than pure gold.
Context
8Maneno yote ya kinywa changu ni haki;
hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi. 9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi;
hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. 10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha,
maarifa badala ya dhahabu safi, 11kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani
na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye. 12“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara;
ninamiliki maarifa na busara.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.