Mithali 8:4
Proverbs 8:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ni ninyi wanaume, ninaowaita; ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote.
Proverbs 8:4 in English
Proverbs 8:4 · Berean Standard Bible
“To you, O men, I call out, and my cry is to the sons of men.
Context
2Juu ya miinuko karibu na njia,
penye njia panda, ndipo asimamapo; 3kando ya malango yaelekeayo mjini,
kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: 4“Ni ninyi wanaume, ninaowaita;
ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote. 5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili;
ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. 6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema;
ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.