Mithali 8:3
Proverbs 8:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema:
Proverbs 8:3 in English
Proverbs 8:3 · Berean Standard Bible
Beside the gates to the city, at the entrances she cries out:
Context
1Je, hekima haitani?
Je, ufahamu hapazi sauti? 2Juu ya miinuko karibu na njia,
penye njia panda, ndipo asimamapo; 3kando ya malango yaelekeayo mjini,
kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: 4“Ni ninyi wanaume, ninaowaita;
ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote. 5Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili;
ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.