Native Bible

Proverbs 8:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani;

Proverbs 8:22 in English

Proverbs 8:22 · Berean Standard Bible

The LORD created me as His first course,* before His works of old.

Context

20Natembea katika njia ya unyofu katika mapito ya haki, 21nawapa utajiri wale wanipendao na kuzijaza hazina zao. 22“Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani; 23niliteuliwa tangu milele, tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.