Mithali 8:20
Proverbs 8:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Natembea katika njia ya unyofu katika mapito ya haki,
Proverbs 8:20 in English
Proverbs 8:20 · Berean Standard Bible
I walk in the way of righteousness, along the paths of justice,
Context
18Utajiri na heshima viko kwangu,
utajiri udumuo na mafanikio. 19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi;
kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. 20Natembea katika njia ya unyofu
katika mapito ya haki, 21nawapa utajiri wale wanipendao
na kuzijaza hazina zao. 22“Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake,
kabla ya matendo yake ya zamani;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.