Native Bible

Proverbs 8:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utajiri na heshima viko kwangu, utajiri udumuo na mafanikio.

Proverbs 8:18 in English

Proverbs 8:18 · Berean Standard Bible

With me are riches and honor, enduring wealth and righteousness.

Context

16kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. 17Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 18Utajiri na heshima viko kwangu, utajiri udumuo na mafanikio. 19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. 20Natembea katika njia ya unyofu katika mapito ya haki,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.