Mithali 8:17
Proverbs 8:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
Proverbs 8:17 in English
Proverbs 8:17 · Berean Standard Bible
I love those who love me, and those who seek me early shall find me.
Context
15Kwa msaada wangu wafalme hutawala
na watawala hutunga sheria zilizo za haki, 16kwa msaada wangu wakuu hutawala,
na wenye vyeo wote watawalao dunia. 17Nawapenda wale wanipendao,
na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 18Utajiri na heshima viko kwangu,
utajiri udumuo na mafanikio. 19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi;
kile nitoacho hupita fedha iliyo bora.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.