Native Bible

Proverbs 8:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa msaada wangu wafalme hutawala na watawala hutunga sheria zilizo za haki,

Proverbs 8:15 in English

Proverbs 8:15 · Berean Standard Bible

By me kings reign, and rulers enact just laws;

Context

13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; ninachukia kiburi na majivuno, tabia mbaya na mazungumzo potovu. 14Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; nina ufahamu na nina nguvu. 15Kwa msaada wangu wafalme hutawala na watawala hutunga sheria zilizo za haki, 16kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. 17Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.