Mithali 8:14
Proverbs 8:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; nina ufahamu na nina nguvu.
Proverbs 8:14 in English
Proverbs 8:14 · Berean Standard Bible
Counsel and sound judgment are mine; I have insight and strength.
Context
12“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara;
ninamiliki maarifa na busara. 13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu;
ninachukia kiburi na majivuno,
tabia mbaya na mazungumzo potovu. 14Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu;
nina ufahamu na nina nguvu. 15Kwa msaada wangu wafalme hutawala
na watawala hutunga sheria zilizo za haki, 16kwa msaada wangu wakuu hutawala,
na wenye vyeo wote watawalao dunia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.