Native Bible

Proverbs 8:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji;

Proverbs 8:24 in English

Proverbs 8:24 · Berean Standard Bible

When there were no watery depths, I was brought forth, when no springs were overflowing with water.

Context

22“Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, kabla ya matendo yake ya zamani; 23niliteuliwa tangu milele, tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 25kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, 26kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.