Native Bible

Proverbs 8:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia.

Proverbs 8:26 in English

Proverbs 8:26 · Berean Standard Bible

before He made the land or fields, or any of the dust of the earth.

Context

24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 25kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, 26kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia. 27Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho juu ya uso wa kilindi, 28wakati aliweka mawingu juu na kuziweka imara chemchemi za bahari,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.