Native Bible

Proverbs 8:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho juu ya uso wa kilindi,

Proverbs 8:27 in English

Proverbs 8:27 · Berean Standard Bible

I was there when He established the heavens, when He inscribed a circle on the face of the deep,

Context

25kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, 26kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia. 27Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho juu ya uso wa kilindi, 28wakati aliweka mawingu juu na kuziweka imara chemchemi za bahari, 29wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.