Mithali 8:28
Proverbs 8:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wakati aliweka mawingu juu na kuziweka imara chemchemi za bahari,
Proverbs 8:28 in English
Proverbs 8:28 · Berean Standard Bible
when He established the clouds above, when the fountains of the deep gushed forth,
Context
26kabla hajaumba dunia wala mashamba yake
au vumbi lolote la dunia. 27Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake,
wakati alichora mstari wa upeo wa macho
juu ya uso wa kilindi, 28wakati aliweka mawingu juu
na kuziweka imara chemchemi za bahari, 29wakati aliiwekea bahari mpaka wake
ili maji yasivunje agizo lake,
na wakati aliweka misingi ya dunia. 30Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake.
Nilijazwa na furaha siku baada ya siku,
nikifurahi daima mbele zake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.