Native Bible

Proverbs 8:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake. Nilijazwa na furaha siku baada ya siku, nikifurahi daima mbele zake,

Proverbs 8:30 in English

Proverbs 8:30 · Berean Standard Bible

Then I was a skilled craftsman at His side, and His delight * day by day, rejoicing always in His presence.

Context

28wakati aliweka mawingu juu na kuziweka imara chemchemi za bahari, 29wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia. 30Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake. Nilijazwa na furaha siku baada ya siku, nikifurahi daima mbele zake, 31nikifurahi katika dunia yake yote nami nikiwafurahia wanadamu. 32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.