Mithali 8:32
Proverbs 8:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu.
Proverbs 8:32 in English
Proverbs 8:32 · Berean Standard Bible
Now therefore, my sons, listen to me, for blessed are those who keep my ways.
Context
30Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake.
Nilijazwa na furaha siku baada ya siku,
nikifurahi daima mbele zake, 31nikifurahi katika dunia yake yote
nami nikiwafurahia wanadamu. 32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni;
heri wale wanaozishika njia zangu. 33Sikilizeni mafundisho yangu mwe na hekima;
msiyapuuze. 34Heri mtu yule anisikilizaye mimi,
akisubiri siku zote malangoni mwangu,
akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.