Native Bible

Proverbs 8:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nikifurahi katika dunia yake yote nami nikiwafurahia wanadamu.

Proverbs 8:31 in English

Proverbs 8:31 · Berean Standard Bible

I was rejoicing in His whole world, delighting together in the sons of men.

Context

29wakati aliiwekea bahari mpaka wake ili maji yasivunje agizo lake, na wakati aliweka misingi ya dunia. 30Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake. Nilijazwa na furaha siku baada ya siku, nikifurahi daima mbele zake, 31nikifurahi katika dunia yake yote nami nikiwafurahia wanadamu. 32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; heri wale wanaozishika njia zangu. 33Sikilizeni mafundisho yangu mwe na hekima; msiyapuuze.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.