Mithali 8:23
Proverbs 8:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
niliteuliwa tangu milele, tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa.
Proverbs 8:23 in English
Proverbs 8:23 · Berean Standard Bible
From everlasting I was established, from the beginning, before the earth began.
Context
21nawapa utajiri wale wanipendao
na kuzijaza hazina zao. 22“Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake,
kabla ya matendo yake ya zamani; 23niliteuliwa tangu milele,
tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa,
wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 25kabla milima haijawekwa mahali pake,
kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.