Mithali 7:13
Proverbs 7:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, na kwa uso usio na haya akamwambia:
Proverbs 7:13 in English
Proverbs 7:13 · Berean Standard Bible
She seizes him and kisses him; she brazenly says to him:
Context
11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi,
miguu yake haitulii nyumbani; 12mara kwenye barabara za mji,
mara kwenye viwanja vikubwa,
kwenye kila pembe huvizia.) 13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu,
na kwa uso usio na haya akamwambia: 14“Nina sadaka za amani nyumbani;
leo nimetimiza nadhiri zangu. 15Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki;
nimekutafuta na nimekupata!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.