Mithali 7:15
Proverbs 7:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata!
Proverbs 7:15 in English
Proverbs 7:15 · Berean Standard Bible
So I came out to meet you; I sought you, and I have found you.
Context
13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu,
na kwa uso usio na haya akamwambia: 14“Nina sadaka za amani nyumbani;
leo nimetimiza nadhiri zangu. 15Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki;
nimekutafuta na nimekupata! 16Nimetandika kitanda changu
kwa kitani za rangi kutoka Misri. 17Nimetia manukato kitanda changu
kwa manemane, udi na mdalasini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.