Mithali 7:17
Proverbs 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimetia manukato kitanda changu kwa manemane, udi na mdalasini.
Proverbs 7:17 in English
Proverbs 7:17 · Berean Standard Bible
I have perfumed my bed with myrrh, with aloes, and with cinnamon.
Context
15Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki;
nimekutafuta na nimekupata! 16Nimetandika kitanda changu
kwa kitani za rangi kutoka Misri. 17Nimetia manukato kitanda changu
kwa manemane, udi na mdalasini. 18Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi;
tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! 19Mume wangu hayupo nyumbani;
amekwenda safari ya mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.