Native Bible

Proverbs 7:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, miguu yake haitulii nyumbani;

Proverbs 7:11 in English

Proverbs 7:11 · Berean Standard Bible

She is loud and defiant; her feet do not remain at home.

Context

9wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake, giza la usiku lilipokuwa likiingia. 10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki, hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, miguu yake haitulii nyumbani; 12mara kwenye barabara za mji, mara kwenye viwanja vikubwa, kwenye kila pembe huvizia.) 13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, na kwa uso usio na haya akamwambia:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.