Mithali 7:12
Proverbs 7:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mara kwenye barabara za mji, mara kwenye viwanja vikubwa, kwenye kila pembe huvizia.)
Proverbs 7:12 in English
Proverbs 7:12 · Berean Standard Bible
Now in the street, now in the squares, she lurks at every corner.
Context
10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki,
hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi,
miguu yake haitulii nyumbani; 12mara kwenye barabara za mji,
mara kwenye viwanja vikubwa,
kwenye kila pembe huvizia.) 13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu,
na kwa uso usio na haya akamwambia: 14“Nina sadaka za amani nyumbani;
leo nimetimiza nadhiri zangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.