Mithali 7:9
Proverbs 7:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake, giza la usiku lilipokuwa likiingia.
Proverbs 7:9 in English
Proverbs 7:9 · Berean Standard Bible
at twilight, as the day was fading into the dark of the night.
Context
7Niliona miongoni mwa wajinga,
nikagundua miongoni mwa wanaume vijana,
kijana asiye na akili. 8Alikuwa akishuka njiani karibu na pembe ya kwake,
akielekea kwenye nyumba ya huyo mwanamke 9wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake,
giza la usiku lilipokuwa likiingia. 10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki,
hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi,
miguu yake haitulii nyumbani;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.