Native Bible

Proverbs 6:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu hawamdharau mwizi kama akiiba kukidhi njaa yake wakati ana njaa.

Proverbs 6:30 in English

Proverbs 6:30 · Berean Standard Bible

Men do not despise the thief if he steals to satisfy his hunger.

Context

28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua? 29Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa. 30Watu hawamdharau mwizi kama akiiba kukidhi njaa yake wakati ana njaa. 31Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. 32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.