Native Bible

Proverbs 6:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe.

Proverbs 6:32 in English

Proverbs 6:32 · Berean Standard Bible

He who commits adultery lacks judgment; whoever does so destroys himself.

Context

30Watu hawamdharau mwizi kama akiiba kukidhi njaa yake wakati ana njaa. 31Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. 32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 33Mapigo na aibu ni fungu lake na aibu yake haitafutika kamwe; 34kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume, naye hataonyesha huruma alipizapo kisasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.