Mithali 6:33
Proverbs 6:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mapigo na aibu ni fungu lake na aibu yake haitafutika kamwe;
Proverbs 6:33 in English
Proverbs 6:33 · Berean Standard Bible
Wounds and dishonor will befall him, and his reproach will never be wiped away.
Context
31Pamoja na hayo, kama akikamatwa,
lazima alipe mara saba,
ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. 32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 33Mapigo na aibu ni fungu lake
na aibu yake haitafutika kamwe; 34kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume,
naye hataonyesha huruma alipizapo kisasi. 35Hatakubali fidia yoyote;
atakataa malipo, hata yakiwa makubwa kiasi gani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.