Mithali 6:31
Proverbs 6:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake.
Proverbs 6:31 in English
Proverbs 6:31 · Berean Standard Bible
Yet if caught, he must pay sevenfold; he must give up all the wealth of his house.
Context
29Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine;
hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa. 30Watu hawamdharau mwizi kama akiiba
kukidhi njaa yake wakati ana njaa. 31Pamoja na hayo, kama akikamatwa,
lazima alipe mara saba,
ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. 32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 33Mapigo na aibu ni fungu lake
na aibu yake haitafutika kamwe;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.