Native Bible

Proverbs 6:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa.

Proverbs 6:29 in English

Proverbs 6:29 · Berean Standard Bible

So is he who sleeps with another man’s wife; no one who touches her will go unpunished.

Context

27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? 28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua? 29Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa. 30Watu hawamdharau mwizi kama akiiba kukidhi njaa yake wakati ana njaa. 31Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.