Native Bible

Proverbs 6:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua?

Proverbs 6:28 in English

Proverbs 6:28 · Berean Standard Bible

Can a man walk on hot coals without scorching his feet?

Context

26kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, hata ukose kipande cha mkate, naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa. 27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? 28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua? 29Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa. 30Watu hawamdharau mwizi kama akiiba kukidhi njaa yake wakati ana njaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.