Native Bible

Proverbs 6:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, hata ukose kipande cha mkate, naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa.

Proverbs 6:26 in English

Proverbs 6:26 · Berean Standard Bible

For the levy of the prostitute is poverty,* and the adulteress preys upon your very life.

Context

24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 25Moyo wako usitamani uzuri wake wala macho yake yasikuteke, 26kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, hata ukose kipande cha mkate, naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa. 27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? 28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.